wakuu poleni na majukumu naomba msaada wa learning material ya cpa katika masomo aya A5 perfomance management na C2 auditing and assurance jamaa wa nbaa waliweka kwenye website yao ila inasomboa kudownload mwenye kunisaidia anitumie hzo material kwenye email mjasiliamali14@gmail.com