Nawasalimu wanajamvi!
Naomba msaada wa yeyote aliye na link itakayoniwezesha kupata "Updated Infos" za:
i. Idadi ya madaktari Tanzania na uwiano wa wagonjwa kwa kila daktari
ii. Kama kuna unyumbulisho wa idadi hiyo na uwiano huo ki-mkoa na ki-wilaya
iii.Idadi ya wauguzi na uwiano wao kwa wagonjwa
iv. Idadi ya "Trained Social Workers" na jinsi soko lao la Ajira lilivyo Tanzania.
Natanguliza shukrani za dhati!