Hizo data nilizipata kipindi nafanya kazi USAID, data zinatofautiana sana kutokana na maeneo, kwahiyo ukifanya hii kitu kitaifa variation ni kubwa sana and there is no reality. Well, unajua govt huwa inaficha ukweli kukwepa aibu lakini ukienda mwenyewe mahospitalini utapata hali halisi ya hizi ratio. baadhi ya links hizo hapo chini
kcmc wanasema: The doctor : patient ratio in Tanzania is 1 : 26,000, whereas the recommended rate is 1 : 7,500. link
Kilimanjaro Christian Medical Centre
bugando wanasema: Tanzania has 1 physician per 50,000 patients, the lowest ratio of physicians to patients in the world. link
Weill Cornell Bugando Program - Global Health | Weill Cornell Medical College
harvard wanasema: In Tanzania, the ratio is upwards of 1 to 50,000. [wanakubaliana na bugando] link
Wanted: Doctors for Africa | Harvard Gazette
Nadhani utakuwa umepata mwanga sasa hivi