Msaada wa Link ya NIN kutoka NIDA

Msaada wa Link ya NIN kutoka NIDA

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Jamani naomba mwenye link ya NIN kwa ajili ya kupata namba ya nida.
Nahitaji link ambayp ni current ili niweze kumuangalizia namba Mtu mmoja hapa.
Maana amechanganyikiwa hapa bado siku 3 tu line zifungwe.

NASUBIRIA SUPPORT ZENU WADAU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni tatizo la wengi mkuu acha wafunge tuu kwanza wananidai,,,,, tumia mfumo huu (mfano)Nenda uwanja sms andika jina lako la kwanza* jina la baba la mwisho* tarehe mwezi mwaka kwa kuunganisha*, jina la mama*jina la mama la mwisho*tuma kwenda 15096.(mfano) shombe*kisomali*12111975*amina*said*send 15096

Tar, mwezi,mwaka wa kuunganishwa ulikuwa unamaanisha mwaka wa kuzaliwa..?
Hilo ni tatizo la wengi mkuu acha wafunge tuu kwanza wananidai,,,,, tumia mfumo huu (mfano)Nenda uwanja sms andika jina lako la kwanza* jina la baba la mwisho* tarehe mwezi mwaka kwa kuunganisha*, jina la mama*jina la mama la mwisho*tuma kwenda 15096.(mfano) shombe*kisomali*12111975*amina*said*send 15096

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataongeza siku, tu hao
Wasukuma tutatwangaje simu wakizifungiaaa??
 
Alafu kama unatumia simu kuangalia hizo namba acha jaribu kutumia computer, simu muda mwingine zinagoma.
 
Me pia wametuma
Sikuwaomba
Screenshot_20200118-224211_Messages.jpeg
 
Back
Top Bottom