Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Hilo ni tatizo la wengi mkuu acha wafunge tuu kwanza wananidai,,,,, tumia mfumo huu (mfano)Nenda uwanja sms andika jina lako la kwanza* jina la baba la mwisho* tarehe mwezi mwaka kwa kuunganisha*, jina la mama*jina la mama la mwisho*tuma kwenda 15096.(mfano) shombe*kisomali*12111975*amina*said*send 15096
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.. Hapo tareh ya kuunganishwa ulikuwa unamaanisha tar ya kuzaliwa..?Jamani naomba mwenye link ya NIN kwa ajili ya kupata namba ya nida.
Nahitaji link ambayp ni current ili niweze kumuangalizia namba Mtu mmoja hapa.
Maana amechanganyikiwa hapa bado siku 3 tu line zifungwe.
NASUBIRIA SUPPORT ZENU WADAU
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni tatizo la wengi mkuu acha wafunge tuu kwanza wananidai,,,,, tumia mfumo huu (mfano)Nenda uwanja sms andika jina lako la kwanza* jina la baba la mwisho* tarehe mwezi mwaka kwa kuunganisha*, jina la mama*jina la mama la mwisho*tuma kwenda 15096.(mfano) shombe*kisomali*12111975*amina*said*send 15096
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaah, hapa naamini.. Itabidi niingie kwenye hii link hzo timeUkiona netiweki inazingua jaribu usiku saa 7 mpaka saa 12 netiweki inakuwaga fasta sana
Mkuu link haifanyi kazi vizuri jaribu kutembelea kituo ulichojiandikishia
Kwa wale ambao hatujapata kitambulisho cha taifa au namba ya kitambulisho tukutane hapa..Tar, mwezi,mwaka wa kuunganishwa ulikuwa unamaanisha mwaka wa kuzaliwa..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataongeza siku, tu hao
Wasukuma tutatwangaje simu wakizifungiaaa??
umefanyaje mkuu
SikuwaombaMe pia wametuma