Msaada wa link za downloads...

Msaada wa link za downloads...

Lambardi

Platinum Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
18,813
Reaction score
21,830
Heshima mbele...naomba msada wenu moderators na wengineoo...
ile link iliwekwa hapa kama mwezi mmoja umepita una pdf nyingi tofauti ......masomo na nyanja mbali mbali....hasa shule...ni muhimu sana naomba mnitumie hizo link kwa PM yangu ...
natanguliza shukrani
 
Wewe search kwenye search engine mbali mbali kama za kununua wewe nunua ni haki yako usipende vya bure , ukipenda vya bure sawa na fisadi tu
 
Back
Top Bottom