Mech engineer
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 354
- 472
Msouth yatakuwa ya kisukuma haya.Mabati ya msouth ni yapi? Au ni ya Alaf?
[emoji4]Msouth yatakuwa ya kisukuma haya.
Rejea uzi wangu " Elimu kuhusu mabati"Habarini wakuu, nauliza bei ya mabati ya msouth kwa bei ya kiwandani.
Kama bei itaambatana na grade number itapendeza zaidi. Pia kwa anayefahamu yanakopatikana kwa hapa Mwanza (nasikia kuna kiwanda cha mabati japo sina uhakika).
Natanguliza shukrani
Ungetuma na picha zake Ingekuwa msaada kwa wadau,kwa vile si wote wako familiar na hizo 'technical terms'G32-17,500/-Mabati ya Msouth Migongo Midogo.FT 10
G30-22,500/-Mabat ya Msouth Migongo Mipana.FT 10
G28-29,000/-Mabat ya Msouth Migongo Mipana.FT 10
G28-35,000/-Mabat ya Msouth Bati za Vigae.FT 10
Simu 0756570873 or 0628700339, 0718550100