Msaada wa maboksi ya kuwekea keki

Msaada wa maboksi ya kuwekea keki

FAUMI

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
19
Reaction score
2
Salaam;


Naomba msaada kwa anayejua mahali yanakopatikana yale maboksi ya kufungashia keki kwa hapa Dar es salaam, kama nitapata mawasiliano yao au kuelekezwa walipo nitashukuru sana. Asanteni.
 
kama unataka mengi unaweza kutengenezewa kama wanavyotengeneza lunch box kutegemea na ukubwa na nembo kama ipo
 
Nenda pale EPZA wanatengeneza packages au waone SIDO inapatikana.
 
Back
Top Bottom