Naomba msaada kwa anayejua mahali yanakopatikana yale maboksi ya kufungashia keki kwa hapa Dar es salaam, kama nitapata mawasiliano yao au kuelekezwa walipo nitashukuru sana. Asanteni.
Kama unajitaji mengi sana kuanzia 5000 pieces then tuone hapa ÐÐ»Ð°Ð²Ð½Ð°Ñ - peroprinters.com tutakutengenezea tu yenye viwango vikubwa kwa wateja wako