F FAUMI Member Joined Sep 30, 2013 Posts 19 Reaction score 2 Feb 22, 2014 #1 Salaam; Naomba msaada kwa anyejua mahali yanakopatikana yale maboksi ya kufungashia keki, kama kuna mawasiliano yao au kuelekezwa walipo nitashukuru sana. Asanteni.
Salaam; Naomba msaada kwa anyejua mahali yanakopatikana yale maboksi ya kufungashia keki, kama kuna mawasiliano yao au kuelekezwa walipo nitashukuru sana. Asanteni.
M mkuu mwenyewe Member Joined Nov 23, 2013 Posts 22 Reaction score 1 Feb 22, 2014 #2 Kuna jamaa nilipewa namba yake anapatikana ilala.ntakuja PM umcheck.
F FAUMI Member Joined Sep 30, 2013 Posts 19 Reaction score 2 Feb 23, 2014 Thread starter #3 asante sana. Nitashukuru...