Msaada wa macho tafadhali wataalam

Msaada wa macho tafadhali wataalam

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
Wataalam,ni njia tiba ipi mbadala itanisaidia maana nataka macho yangu yawe meupe,maana yana rangi la brown,ila sina tatizo lolote la macho,nataka tu yawe meupe wandugu,au kuna athari zozote za kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom