Msaada wa macho

Msaada wa macho

Flammable

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
872
Reaction score
103
Katika jicho langu moja kuna mtoto wa jicho kuanzia fm2 mpaka sasa nimemaliza fm6 cha kushangaza huwa katoto hako kanapotea kwa mda flan,nikienda hospital kwa upasuaj sometime hawakaon,WENYE UJUZ NAOMBA MSAADA
 
Back
Top Bottom