Msaada wa madawati

Msaada wa madawati

Nenda makampuni ya simu k.v VoDACOM,AIRTEL,n.k pia financial institution k.v CRDB,BARCLAYS,NMB,n.k. Bila kusahau matajiri wakubwa wanaweza kukusaidia mfano,MZEE WA AZAM.
 
hv bado kuna uhaba wa madawati mpaka wakati huu?
 
Back
Top Bottom