Fungo N.
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 252
- 43
Wana jf nipo chalinze najajishughulisha na uuzaji wa nguo za wanawake kama vile kanga vitenge vikoi madila,wax nk,.Naomba Mwenye Kufahamu Maduka Ya Jumla Ya Hz Nguo,maana Nimekuwa Nikichukulia Kariakoo Na Kitumbini Lakini Naona Hainilipi Kabisaa.Kwa Mawasiliano Zaid 0683081550