Msaada wa maelezo kuhusu Ubuy Online Shopping

Super Charged

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
947
Reaction score
1,710
Nimejaribu Kikuu, Mwanzani Sikuamin Kikuu Niliona kama Matapeli Kumbu Fikra Zangu hazikuwa sahihi.

Sasa Nimesikia Kuhusu Ubuy kwa maana kuna Product haziko Kikuu ziko Ubuy na nimezipenda. Naombeni Maelezo Wakuu Kuhusu Ubuy

1. Je, ni legit Platform?

2. Mzigo unafika kwa wakati

3. Wanatumia njia gani za kudelive Mzigo, je Njia zao zinafanana na za Kikuu

4. Ni Salama kununua Product kutumia Ubuy
 
Mkuu hiki kitu wewe umekitoa wapi, ulipokitoa ndio kuna maelezo ya ziada yatafute!
 
Nimejaribu Kikuu, Mwanzani Sikuamin Kikuu Niliona kama Matapeli Kumbu Fikra Zangu hazikuwa sahihi.

Sasa Nimesikia Kuhusu Ubuy kwa maana kuna Product haziko Kikuu ziko Ubuy na nimezipenda. Naombeni Maelezo Wakuu Kuhusu Ubuy

1. Je, ni legit Platform?

2. Mzigo unafika kwa wakati

3. Wanatumia njia gani za kudelive Mzigo, je Njia zao zinafanana na za Kikuu

4. Ni Salama kununua Product kutumia Ubuy
ubuy.co.tz hiyo ni dropshippong website ukifanya order hapo inategemea na suppler yupo fast kiasi gani kukufikia.
 
Back
Top Bottom