Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
Ebay au ubuy?
ubuy.co.tz hiyo ni dropshippong website ukifanya order hapo inategemea na suppler yupo fast kiasi gani kukufikia.Nimejaribu Kikuu, Mwanzani Sikuamin Kikuu Niliona kama Matapeli Kumbu Fikra Zangu hazikuwa sahihi.
Sasa Nimesikia Kuhusu Ubuy kwa maana kuna Product haziko Kikuu ziko Ubuy na nimezipenda. Naombeni Maelezo Wakuu Kuhusu Ubuy
1. Je, ni legit Platform?
2. Mzigo unafika kwa wakati
3. Wanatumia njia gani za kudelive Mzigo, je Njia zao zinafanana na za Kikuu
4. Ni Salama kununua Product kutumia Ubuy
ubuy.co.tz hiyo ni dropshippong website ukifanya order hapo inategemea na suppler yupo fast kiasi gani kukufikia.
Mkuu hiki kitu wewe umekitoa wapi, ulipokitoa ndio kuna maelezo ya ziada yatafute!
InterestingAsante Mkuu.Maana Wengine wanadhani Labda Nimekosea Hakuna Ubuy.Au wanadhan Ni Ebay