Msaada wa mafunzo ya ualimu

yundu misanga

Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Habari wanna jf
Naomba msaada kwa anaejua ivi vigezo vya kujiunga na chuo cha ualimu Ngazi ya cheti ama diploma vipi? Maana kuan Chuo cha ualimu singida kinatangaza kwenye radio Maria wanatoa kozi ya ualimu kwa level ya diploma kwa miaka mitatu vigezo awe Form four kuanzia division f our yenye D' nne na kuendelea. Naomba msaada mwenye kuj ua
 
Ngoja wape wenye kujua hatamimi nlisikia ila sina uhakika na vigezo vya wizara
 
Tembelea tovuti ya nacte utapata kila kitu unachohitaji
 
Ndugu kuwa makini na chuo hicho maana hivi majuzi na chenyee kilikua katika sakata la vyuo vilivyo fungiwa na hatimae wakapewa mashariti ya kuto dahili anafunzi kwa miaka miwili,kuwa macho kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…