Habari za kutwa ndungu zangu
Mimi ni kijana mwenzenu mwenye nia thabiti ya kuweza kukuza mpira wa Tanzania kwa kuwa mchezaji namba 13 yaani namaanisha mwamuzi(refaree) lakini changamoto ni moja ninayo ipata sijajua ni wapi pa kuanzia na sijajua ni vitu gani muhimu vya kuzingatia
Please kwa yeyote mwenye muongozo na hili naomba aweze kunijuza ili niweze kufikia marengo yangu kimichezo
Ahsanteni sana na karibuni kwa maoni
Nawapendani nyote