Queen Horse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 414
- 317
Habari zenu wapendwa.... nina tatizo la nywele zangu yaan nyepesi sana halafu kavu plus zinachomoka kila ninapochana kiasi cha kusababisha kukosa uwiano... nyuma zimekatika mpaka zinatia hasira...je nitumie kitu gan ili ziwe nzuri kama za wengine??