Msaada wa mahala wanapofundisha lugha ya kijerumani -dsm

Msaada wa mahala wanapofundisha lugha ya kijerumani -dsm

Bosco Ntaganda

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
710
Reaction score
289
Wakuu nitakuwepo jiji hili la nusu raha nusu taabu, kwa muda mrefu kidogo. Naomba kwa anaye fahamu sehemu ninayoweza kujifunzia lugha ya Kijerumani anisaidie, ikiwezekana na bei zao. Natanguliza shukrani
 
Mbona unatoa majibu nusu nusu mkuu? IFM nikaulizie wapi sasa?

wewe ntaganda acha utani! yani hiyo lugha ya kidhungu na kikabila chenu! haitoshi kuendesha uasi wa nchini kwako mpaka uongezee na kijerumani bana!
 
wewe ntaganda acha utani! yani hiyo lugha ya kidhungu na kikabila chenu! haitoshi kuendesha uasi wa nchini kwako mpaka uongezee na kijerumani bana!
Kaka kujua lugha nyingi ndio ujanja, una-switch wafadhili wa silaha kama hauna akili nzuri vile, hahaha

Msalimie Samuel Mutama hapo IFM
 
Back
Top Bottom