Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 289
Mbona unatoa majibu nusu nusu mkuu? IFM nikaulizie wapi sasa?nenda IFM:hat:
Mbona unatoa majibu nusu nusu mkuu? IFM nikaulizie wapi sasa?
Shukrani mkuuJaribu Goethe Institute Tansania - Welcome to the Goethe-Institut in Tanzania*-*Goethe-Institut*
Kaka kujua lugha nyingi ndio ujanja, una-switch wafadhili wa silaha kama hauna akili nzuri vile, hahahawewe ntaganda acha utani! yani hiyo lugha ya kidhungu na kikabila chenu! haitoshi kuendesha uasi wa nchini kwako mpaka uongezee na kijerumani bana!