Nenda HELP TO SELF HELP CENTER, ipo sakina silient inn, kama unatokea mjini ukipita tu car wash ya captain unaingia kushoto fata hiyo barabara mbele ulizia( hiyo ni barabara ya gari ), short cut ya mguu ukishuka tu silent inn kuna kichochoro kinaingia kushoto, ni kama 5min unafika, ukimuuliza mtu yoyote pale atakuelekeza. Wanafundisha bites zote; crips,tambi,maandazi,doughnuts,cake, biscuits, far far, supu, mikate, half cake, pizza na makorokoro kibao ushindwe mwenyewe. miezi minne kwa laki moja tu.