Nashukuru sana mkuu na malipo hayo ni KWA mwezi1. YES,Yanalipiwa kodi halmashauri.
2. Mchanganuo wa gharama zake ni square mita moja inalipiwa elfu 10 (fanya hesabu zako).
3. Bei ni sawa bila jali pande za bango.
4. Analipa mteja hela ya tangazo kwenye kituo husika kulingana na gharama za kituo.
NB; Hii ni kwa uelewa wangu kwenye mabango ya chuma.
Kwa mwaka, ni vizuri ungefatilia halmashauri ya sehemu ulipo zaid..Nashukuru sana mkuu na malipo hayo ni KWA mwezi
Unaweza ongezea unachokijua pia mkuuAsante wick
Mkuu sijui kama nimekuelewa, kwakuwa hapo kwa bango futi 4×4Nenda halmashauri husika ila sijui kama zinatofautiana.
Huku kwetu makao makuu, sentimita mraba ni sh 100 kwa upande mmoja, kwa pande mbili unazidisha kwa mbili hivyo itakua 200. Hii kwa bango lisilowaka taa
Bango lenye kuwaka taa sentimita mraba ni sh 250 kwa pande mbili ni sh 500.
Hii ni gharama ya mwaka mzima. Hapo sasa utapima bango lako ni la ukubwa wa sentimita ngapi
Naomba unitumie sample ya mabango uliyotengeneza na bei zakeUKIFANIKIWA KUULIZA HALIMASHAURINI MM NATENGENEZA MABANGO HIVYO KARIBU KWA HUDUMA HIZO