0767854945
Member
- Jul 5, 2013
- 74
- 2
Ndugu zangu kwa anayejua ni lini wizara itatoa majina hayo kwani watu tunahamu kujua matokeo mapema ili kama tumepata tujiandaye au kama tumekosa tubadili mipango mapema kabla muda haujaenda asanteni naombeni msaada wenu waungwana