Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
mpendwa kuna uzi ulianzishwa humu ulikuwa unaitwa jinsi ya kupaka makeup kama za kina lulu. utafute umeelekeza sana mambo ya make up na video wamerusha for begginers. usome huo una maelekezo mazuri tu kwa shida yako.
niliuona ujumbe wako mpenz ila sijawa mjuaji san wa vitu hivyoUbarikiwe sana na nimeupitia ila kuna baadhi bado sijayapata
niliuona ujumbe wako mpenz ila sijawa mjuaji san wa vitu hivyo
usijalShukrani ubarikiwe tu kwa response