SAFAM classic
Member
- Oct 8, 2022
- 10
- 2
Nenda ushirika wa neema au maeneo ya karibu na vyuo. Chumba single maeneo ya karibu na chuo ambacho sio self ni kuanzia 40000 hadi 50000. Chumba self ni kuanzia 60 hadi 100,000 inategemeana na ukubwa na uzuri wa chumba. Ila nje kidogo ya maeneo ya chuo unaweza kupata hata kwa 30,000 single ambayo siyo self na self unaweza kupata kuanzia 50,000. Ila changamoto ya kukaa mbali na chuo kuna tope la balaa hata vumbi ni balaaMimi ni mwanafunzi ambaye Nimechaguliwa chuo cha Mwenge Catholic university.
Hata hivyo Mimi ni mgeni sina ndugu
Hivyo kwa mwenyeji wa moshi ninaomba msaada WA ghetto au chumba
Pia nahitaji kuijua gharama zake
Sawa mkuuNenda ushirika wa neema au maeneo ya karibu na vyuo. Chumba single maeneo ya karibu na chuo ambacho sio self ni kuanzia 40000 hadi 50000. Chumba self ni kuanzia 60 hadi 100,000 inategemeana na ukubwa na uzuri wa chumba. Ila nje kidogo ya maeneo ya chuo unaweza kupata hata kwa 30,000 single ambayo siyo self na self unaweza kupata kuanzia 50,000. Ila changamoto ya kukaa mbali na chuo kuna tope la balaa hata vumbi ni balaa
Ngoja tuangalieLete laki 3 nikukabidhi ghetto langu hapo moshi unilindie.lina kila kitu,liko kcmc hapo