Msaada wa maneno haya kiswahili kama ni sahihi kutumika

Msaada wa maneno haya kiswahili kama ni sahihi kutumika

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Hikiwemo au ikiwemo?
Kufuata au kufata?
Ujaamua au ujahamua?
Taasisi au Tahasisi?
Hivyo au hivo ?
Aliipata au alihipata?
Ataweka au hataweka?
Ambako au ambapo?
Anasa au hanasa
Taharifa au taarifa?
Unaousika au unahousika?
Iendane au hiendane?
Muafaka au muhafaka?
Uaminifu au uhaminifu?
Unaoonyesha au unaohonyesha?
Unahohitaji au unaohitaji?
 
Anayefanya au hanayefanya?
Kulaani au kulahani?
Usika au husika?
Humfuza au umfukuza?
Haitaji ?
Yoyote au yeyote?
Ebu au embu?
 
Hikiwemo au ikiwemo?
Kufuata au kufata?
Nilizo bold si sahihi.
Ujaamua au ujahamua?
Sahihi ni HUJAAMUA
Taasisi au Tahasisi?
Hivyo au hivo ?
Aliipata au alihipata?
Nilizo bold si sahihi.

Ataweka au hataweka?
Yote ni sahihi.
Hataweka inakanusha ataweka.
Ambako au ambapo?
Anasa au hanasa
Taharifa au taarifa?
bolded si sahihi.
Unaousika au unahousika?
Unao husika ndio sahihi.
 
Nilizo bold si sahihi.

Sahihi ni HUJAAMUA

Nilizo bold si sahihi.


Yote ni sahihi.
Hataweka inakanusha ataweka.

bolded si sahihi.

Unao husika ndio sahihi.

Asante kuna mambo nishamaliza kuandika ndio nilikuwa nimetatizwa na hayo maneno
 
Back
Top Bottom