mpigamsuli
MRAHABA:
1. mrabaha = 1. royalty.
2. mrabaha = 2. proceeds, returns, profit.
GOMBO:
1. gombo =
1. sheet, leaf of a book.
2. gombo = 2. (hutumika sana Mwambao wa Afrika ya Mashariki)
offering ceremony.
3. gombo.
a = 3. redeem: Ali aligomboa redio yake he redeemed his radio.
Maneno yanayoendana na hiyo namba 3 ni
gombolea, (
tdew)
gombolewa; (
tdk)
gomboka; (
tdn)
gomboana; (
tds)
gombosha.
MUAMALA
1. muamala = 1. one's good relations with others.
2. muamala = 2. business relations.
N.B:
Kuna neno muamala ambalo pia linatumiwa na Kampuni za simu ... kama M-Pesa au Tigo ... huwa wanasema
Muamala umekubaliwa au hautoshi ... nafikiri unafahamu.
RAJISI:
Rajisi = Sajili
Kisawe (neno linalofanana katika matumizi)
cha kusajili ni kurajisi. Neno rajisi halitumiki sana lakini neno sanifu na linakubalika kutumika.
Tanapata
mrajisi/msajili katika wizara, mashirika na kampuni.
Nafikiri mkuu
mpigamsuli pia na
Gwankaja Gwakilingo umenipata hapo!