Msaada wa maneno machache ya kihaya

Msaada wa maneno machache ya kihaya

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Habari za asubuhi wana JF,

Nimekuja humu nina shida ndogo maana penye wengi pana mengi nimehamia nyumba fulani hapa jijini wenye nyumba ni wahaya hawa watu wakiniona nimerudi wao ni kihaya tu hili tatizo kwangu naliita tatizo kwani lilianza baada ya kuzozana nao.

Sasa nataka wajue kwamba najua kihaya ila kiukweli sikijui labda hamtanielewa trick ni hivi nitafake kupiga simu kwa dk hata mbili huku nikiongea kihaya wakinisikia watafikiria najua kihaya hivyo ni mambo ya saikolojia.

Nb: Mpangaji nipo peke yangu
 
Waambie chambua kama karanga wakikataa kuelewa wapigie verse zake
 
Back
Top Bottom