Muumba-Mwumba?MWU ni neno ambalo ni uyeyushaji mbapo herufi W asili yake ni U kavu kwahiyo kwenye uyeyushaji huandikwa W hivyo MWU ni sawa na MUU kwahiyo hapo tunapata MWUGUZI kutoka neno muuguzi, tafuta maneno mengine yenye MUU.... na utumie MWU.
Ndio wala haina shidaMuumba-Mwumba?
Mokoza-MwokoziMuumba-Mwumba?
Swali gumu sana, Mwamba-muamba, muembe- mwembe n.k.Vitoto vidogo sana ila wanapigwa vitasa ambavyo ni next fucking level![emoji124][emoji124][emoji124]
MwumbajiMuumba-Mwumba?
Hapo ni muokozi - mwokoziMokoza-Mwokozi
Unapoyeyusha neno usibadili viambishi tamati. Kama neno ni muumba liwe Mwumba na sio uongezi ji.Mwumbaji
Sawa teacherUnapoyeyusha neno usibadili viambishi tamati. Kama neno ni muumba liwe Mwumba na sio uongezi ji.
Asante kwa ufafanuzi mzuriMWU ni neno ambalo ni uyeyushaji mbapo herufi W asili yake ni U kavu kwahiyo kwenye uyeyushaji huandikwa W hivyo MWU ni sawa na MUU, au MU kwahiyo hapo tunapata MWUGUZI, kutoka neno muuguzi, tafuta maneno mengine yenye MUU../ MU... na utumie MWU...
MWU ni neno ambalo ni uyeyushaji mbapo herufi W asili yake ni U kavu kwahiyo kwenye uyeyushaji huandikwa W hivyo MWU ni sawa na MUU, au MU kwahiyo hapo tunapata MWUGUZI, kutoka neno muuguzi, tafuta maneno mengine yenye MUU../ MU... na utumie MWU...
MuokoziMokoza-Mwokozi