be specific,Ni topic ambayo utategemea sana data kutoka mashuleni (head ts, teachers, ed. officers)pamoja na mtandao. Ukipata nafasi nenda UDSM library (both main and education library) ujaribu kusearch dis. ambazo ni similar na yako ili upate mwanga wa nini wenzio wamefanya na kuweka wazi gap ya reseach yako.
Ofcourse ni walimu wa sekondari, make research inahusu kada hiyo.be specific,
is it sec schools teachers??
sec schools head teachers?
pia anza na neno examination...i suggest; EXAMINATION OF THE MAIN CHALLENGES OF IMPLEMENTATION OF OPRAS TO SECONDARY SCHOOL TEACHERS IN TZ, usisahau kusema acase study of .......(eg mkoa, kanda nk) maana huwezi ku cover the whole country.
i also stand to be corrected.
Wana JF, Naamini hili ni jamvi lililojaa watu waelewa, wasomi, na wenye upembuzi yakinifu. Katika kuhitimisha masomo yangu napaswa kufanya research. Nimeamua kuangalia THE CHALLENGES OFIMPLEMENTATION OF OPEN PERFORMANCE REVIEW AND APPRAISAL SYSTEM (OPRAS) INTANZANIAN SECONDARY SCHOOLS. Hivyo kwa yeyote mwenye mchango wa mawazo, critiques, suggestions and opinions, naomba anipe mchango wake
Naomba kuwasilisha
be specific,
is it sec schools teachers??
sec schools head teachers?
pia anza na neno examination...i suggest; EXAMINATION OF THE MAIN CHALLENGES OF IMPLEMENTATION OF OPRAS TO SECONDARY SCHOOL TEACHERS IN TZ, usisahau kusema acase study of .......(eg mkoa, kanda nk) maana huwezi ku cover the whole country.
i also stand to be corrected.
Sio lazima kusema na study area kwenye title kwani itawekwa kwenye research design part. Sasa kwani huyu anataka ku-examine challenges au implementation ya hiyo system? Mimi nafikiri anataka ku-examine au assess the system na sio challenges zake. Kama ni suala la challenges basi itakuwa ni "Identifying challenges of impelementing OPRAS in secondary schools in Tanzania"

HRM mzumbe products weupe sana.