Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Atajuwaje kama kuna za nyama, samaki au kuku na yeye kaomba msaada kuanzia mwanzo mpaka kuwa katles... from scratch.katlesi za nyama au samaki
Now u r talking.
Pole sana shem hata kutengeneza Catlesi umesahau? Njoo week end nitakusaidia... kwa vitendo!
Shem bana vipi!...ww mwenyewe hujui alafu unanuliza miye.....at least nime admit sijui ili niweze kupata darasa....hahahahahah
I know ur a good chef
Ilikuwa nusu nijing'ate ulimi bwana! tulikuwa tunatumia vijiko
both! ulimi na kidole shem......since when ugali ukatumia kijiko au pilau ukala kwa kijiko....linafaa kula na mkono ile kiswahili swahili...ila real talk shem now nataka kuanz akujifunza kupika kwa bidii zote....heheheheeh!..
Usiache kunicontact for some tips! Mimi hata muhindi wa kuchoma nakula kwa kisu, umma na kijiko! usipime
hahahahaha you are stupid shem uwiii muhindi kwa uma?...dang!
Oooh mambo ya kula na mikono nimemwachia Yo Yo! Mimi kitu na box
hukumbuki kula mkono sinia moja watu saba mna share alafu mnatumia mkono duuh that was nasty hapo hata hujui mwenzio kama alinawa mikono or lah au alikuwa wapi.....tulikuwa tuna risk magonjwa unajua,.,.,,
Hiyo ukienda village huwezi ikwepa! Kuna mshikaji nilimwona anakojoa na kutikisa pipe yake......sikumwona akinawa....baadaye akanipa kipande cha muhogo...nilishinda kukipokea...!
uuuuugh that is so nasty!...mimi ningemwambia right there kanawe kwanza tafadhali.....huko ni kuambukizana kipindupindu.....au mtu anasokonyoa pua alafu anakuja kukupa mkono kukusalimia.....