MADAKTARI WA JF.
ASALAAM ALEIK, NA BWANA YESU ASIFIWE SANA.
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la ALLERGY kwa miaka mingi sasa, ninachojua mimi ni kuwa nina maradhi hayo, hasa sitakiwi kugusa House dust, mwili huvimba utafikiri nimegusa upupu, au nimewashwa na mdudu washa washa. hii hutokea hasa usiku niamkapo hujikuta mwili umevimbavimba, naomba kujua hii hutokea kwa sababu zipi? pili, je nitumie dawa gani? au nifanyeje ili kuepuka adha hii?.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU
madaktari wa jf.
Asalaam aleik, na bwana yesu asifiwe sana.
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la allergy kwa miaka mingi sasa, ninachojua mimi ni kuwa nina maradhi hayo, hasa sitakiwi kugusa house dust, mwili huvimba utafikiri nimegusa upupu, au nimewashwa na mdudu washa washa. Hii hutokea hasa usiku niamkapo hujikuta mwili umevimbavimba, naomba kujua hii hutokea kwa sababu zipi? Pili, je nitumie dawa gani? Au nifanyeje ili kuepuka adha hii?.
Natanguliza shukrani zangu
unataka usaidiwe vp wakati tatizo umeshalijua? cha maana ni kuepuka hiyo house dust nadhani ndio dawa pekee ya allegy ni kuepuka vitu vinavyokupa hayo matatizo. dawa za kunywa au kupaka ni kutuliza tu yale madhara,ila sina uhakika kama zinatibu coz hata mimi nilikuwa na hayo matatizo ya house dust,pollen,manyoya ya paka,ngano,samaki, nilipoacha hivyo vitu na ugonjwa ukaisha.
make sure nyumba haina vumbi,inawezekana ukiwa msafi, toa capeti au zulia, weka vigae kama una uwezo, kama hauna acha sakafu bila ya capeti au zulia.epuka kuweka kitu kwa muda mrefu bila ya kukisafisha, i mean vitabu au cd,maana vumbi lake ni hatari sana,safisha uvungu wa kitanda kila muda.