Ni ardhi ambayo haijatumika au iilishawah tumika?Nina mashamba makubwa maeneo ya mzumbe ,
Heka moja ni laki 4
Jumla ya hekari ni 15
0655 944 268
Komred,,, si unge andika sifa za hayo maeneo unayo yataka wewe !Ni ardhi ambayo haijatumika au iilishawah tumika?
Umbali gani kutoka mzumbe hapo na eneo linategemea kilimo cha mvua au kuna vyanzo vya maji kwaajili ya umwagiliaji?
Cool,nimekupata champKomred,,, si unge andika sifa za hayo maeneo unayo yataka wewe !
Bandiko lako linasema unataka mashamba morogoro,
.
Umehakikishiwa kuwa mashamba yapo,
2 km from mzumbe chuo !
.shamba ni zuri kwa kilimo cha kutegemea mvua
Mkuu hayo ya Mzumbe yapo ,Mzumbe sehemu gani?Nina mashamba makubwa maeneo ya mzumbe ,
Heka moja ni laki 4
Jumla ya hekari ni 15
0655 944 268
Mkuu haya mashamba ya Mzumbe bado unayo?Nina mashamba makubwa maeneo ya mzumbe ,
Heka moja ni laki 4
Jumla ya hekari ni 15
0655 944 268