msaada wa maswali haya?

msaada wa maswali haya?

mathematics

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
3,322
Reaction score
1,110
Kuna mdogo ameniuliza maswali nami yamenipiga chenga,

1. neno gani la kiswahili lina maana sawa na neno kibogoyo ?

2 panga neno lifuatalo lillete maana ya kiswahili " RAHASIHI "

Natanguliza shurani,
 
Back
Top Bottom