Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili
Naomba msaada wa maswali ya Entrepreneurship kutoka chuo tajwa hapo juu kwenye mada, yawe ya Final exams or Internal test/Seminar questions, nina shida nayo sana wajameni, au ikishindikana kupata ya moja kwa moja kutoka Arusha Tech basi kutoka chuo chochote cha ndani kinachoeleweka.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu