Rango_snake New Member Joined May 11, 2019 Posts 1 Reaction score 1 Jan 9, 2023 #1 Naomba kwa anaefahamu mfano wa maswali ya kwenye usaili kada ya afisa mazingira daraja la pili.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Jan 9, 2023 #2 Soma notes za darasani hususani zinazohusiana na kazi/vitendo