Wadau nataka kununua hizi tairi nifunge kwenye gari yangu. Si mtu wa kusafiri sana. Kwa anaejua uzuri na ubaya wa hizi tairi anijulishe. Natanguliza shukrani.
Haya.na shida kama huendi safari za mbali funga tu
Ila kama unasafari za kwendavali hizo sio tairi za kufunga, kuna siku zilinilaza mkiwa along singida dom road baada ya tairi mbili kupasukuka kwa pamoja