brainy boi
Member
- Jun 16, 2017
- 17
- 2
Samahan wadau naomben kwa yoyote aliosoma physics a level aniorodheshe subtopic zinasotakiwa kusomwa katika topic ya mechanics kutokana na. Syllabus ya tanzania.
Na pia anaejua wapi naweza patia pastpapers za mitian kwnye mtandao pia anisaidie
Sent using jamii forums mobile app
Na pia anaejua wapi naweza patia pastpapers za mitian kwnye mtandao pia anisaidie
Sent using jamii forums mobile app