Msaada wa matibabu na ushauri;

Msaada wa matibabu na ushauri;

asacha

New Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
4
Reaction score
2
mke wangu anasunbuliwa na maumivu ya tumbo ambapo huwa linawaka moto,huchomachoma,kuuma chini ya kitovu,kwenye kiuno na mgongo na wakati mwingine huwa kama ametoneshwa.
 
Mambo ya afya muone daktari humu wakina sisi ambao kazi zetu hazitubani sana na wengi ni jobless plus wanafunzi
 
mke wangu anasunbuliwa na maumivu ya tumbo ambapo huwa linawaka moto,huchomachoma,kuuma chini ya kitovu,kwenye kiuno na mgongo na wakati mwingine huwa kama ametoneshwa.
huko mlipo hakuna hosptal mkuu?
 
Kama mara mbili ashachek kaambiwa uti akapata doze baadaye hali ikarudia tena mkuu wangu
 
Back
Top Bottom