Msaada wa mavazi ya harusi

Msaada wa mavazi ya harusi

Kim Jong Un

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
496
Reaction score
263
Screenshot_2016-03-31-06-25-14.png
Screenshot_2016-03-31-06-25-14.png
Screenshot_2016-03-31-06-25-14.png
Screenshot_2016-03-31-06-25-14.png
Jamani mwezi ujao nafunga ndoa naomba msaada wapi ntapata hii suit na gauni zuri la harusi mi npo mikoani ntafute kwa namba hii 0766568609
Naomba suggestions zetu na more input jinsi ya kupendezesha siku hiyo.
 
kwa gauni nenda MALAIKA dar hawa ni noma,.
 
Mkoa upi? Funga sfr na mkeo mtarajiwa ingieni mjini (dsm,Ar,Mwnz) vitu vipo mjini kuutwaa mzigo unashushwaa. Bi harusi siku hizi tunakodi nguo ila ukipenda kumnunulia mazima kama yako uweke kumbukumbu poa
 
Back
Top Bottom