Msaada wa mawasiliano Himo industry

Me najua himo kuna kiwanda cha ngozi tu.hicho cha vifungashio sijui kiko wapi
 
Amedata na jina la kiwanda. Alifikiri kipo Himo kumbe Himo ni jina tu[emoji16]
Najua toka mda kiwanda kipo wapi wewe ndo unajichanganya na maswali yako ya kijinga hao jamaa wanasambaza mzigo wao kwa wingi maeneo ya kariakoo.
 
Basi labda ujaribu uende kiwandani kwa vile contacts zao imekuwa shida kupatikana.
 
Najua toka mda kiwanda kipo wapi wewe ndo unajichanganya na maswali yako ya kijinga hao jamaa wanasambaza mzigo wao kwa wingi maeneo ya kariakoo.

Sasa si ungewauliza hao wanaosambaziwa. Hivyo ni viwanda vidogo havina website havina social media yyte ni ngumu kupata contact zao
 
Kupata connection kwa wafanya biashara tena wa kariakoo ni ngumu sana uwa wanaficha sana sehemu wanazo chukua mizigo ila nitapa tu mawasiliano yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…