Ngongongare
Member
- Jan 16, 2014
- 48
- 18
Wadau habari zenu...?Naomba kama kuna yeyote anayefahamu mahali kilipo chuo cha Nursing school at KCMC certificate level anielekeze na kama anazo contact zao anisaidie pia maana kuna ndugu yangu kachaguliwa hiyo course kupitia nacte katika chuo husika but nimefanya mawasiliano na Kcmc nursing school wanasema hakuna course ya basic technician(certificate) pale chuoni kwao na kuna watu 25 akiwemo ndugu yangu majina yao yamechaguliwa pale kutoka Nacte. na mpaka leo hatujapata joinining instruction kwenye profile yake kama ilivyoelekezwa.
Ni matumaini yangu kuwa nitasaidiwa
Lengo ni kupata joining instruction ili tuweze kufanya maanadalizi ya mapema maana wasukuma wanasema "mvua za kwanza ndio za kupandia"
Ni matumaini yangu kuwa nitasaidiwa
Lengo ni kupata joining instruction ili tuweze kufanya maanadalizi ya mapema maana wasukuma wanasema "mvua za kwanza ndio za kupandia"