Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Habarini wanajamvi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kwa muda mrefu sasa najaribu kufanya mawasiliano bila mafanikio kwani namba zao hazipokelewi na email address haijibiwi.
Kama kuna namna nyingine ya mawasiliano naomba msaada.