Mdenya blood
Member
- Apr 27, 2015
- 51
- 5
Msaada wa kimawazo wakuu!
Mimi nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu lakini kutokana na sababu mbalimbali nilishindwa kuendelea na masomo hivyo ikanibidi niache kusoma. Juzi nikaanza mchakato mpya wa kuomba vyuo lakini nilishindwa sababu nilishawahi kuomba vyuo.
Leo nimeenda chuoni kwangu kuomba Clearance letter ili niipeleke TCU cha ajabu wahusika wamekataa kunisaidia, wamenizungusha.
Je nitumie njia gani ili niweze kupata admission kwa mwaka huu.