msaada wa mawazo jamani

msaada wa mawazo jamani

portential K

New Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
1
Reaction score
0
nisaidieni wadau.hivi ina weze kana kweli ukawa na mahusiano ya kimapenzi na mtu alie athirika na usifahamu kama ameathirika then uende kupima halafu ujikute wewe upo safi kweli?
 
possible,nenda angaza majibu dkk 3 tu
kwa nini uishi kwa hofu? nenda ujue moja ujipange
 
Back
Top Bottom