P portential K New Member Joined Jan 14, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Jan 22, 2013 #1 nisaidieni wadau.hivi ina weze kana kweli ukawa na mahusiano ya kimapenzi na mtu alie athirika na usifahamu kama ameathirika then uende kupima halafu ujikute wewe upo safi kweli?
nisaidieni wadau.hivi ina weze kana kweli ukawa na mahusiano ya kimapenzi na mtu alie athirika na usifahamu kama ameathirika then uende kupima halafu ujikute wewe upo safi kweli?
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,619 Jan 22, 2013 #2 possible,nenda angaza majibu dkk 3 tu kwa nini uishi kwa hofu? nenda ujue moja ujipange
mr transcript Member Joined Sep 27, 2012 Posts 56 Reaction score 7 Jan 22, 2013 #3 Hapo ni sawa uchukue mkopo bila ya kuwa na wazo
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,028 Jan 22, 2013 #4 Inawezekana, lakini naonaga kama miujiza vile.