Wakuu poleni na majukumu
Mi nikijana ambae nataka kujiajiri sasa napata tatizo kidogo, nimeweza kuanzisha website yangu
na pages kadhaa tayari kwaajili ya advertisements sasa nimefika kati kati nimekwama kifedha na bado cjapata fedha ya kwenda ku Register Kampuni bado...
Sasa nataka kufahamu je kisheria ni sawa kuwa na hvyo vitu hewan ili hali bado