Q Qtee Member Joined Sep 20, 2014 Posts 52 Reaction score 6 Mar 12, 2016 #1 Habari wanajf, nahitaji kutengeneza na kuuza chaki. Naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu chochote unachofahamu kwenye biashara hii. Asanteni
Habari wanajf, nahitaji kutengeneza na kuuza chaki. Naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu chochote unachofahamu kwenye biashara hii. Asanteni
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,305 Mar 12, 2016 #2 Upo wapi?
isambe JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 2,195 Reaction score 1,407 Mar 12, 2016 #3 Kwanza unatakiwa kuelewa siku hizi kuna zile chalks ambazo hazitoi vumbi jeupe.
S SKY HACKER Member Joined May 1, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Jul 11, 2018 #5 naomba kujua pop ntapata wapi jaman
S SKY HACKER Member Joined May 1, 2018 Posts 6 Reaction score 0 Jul 11, 2018 #6 naomba kujulishwa plaster of paris ntaipata wapi wandugu...p.o.p