Lengo langu ni kuanzisha uzalishaji Mimi mwenyewe alafu kwa upande wa soko popote naweza kufika mladi tu uhitaji wa bidhaa hiyo uwepo.Ninajua in and out ya biashara hii! Zamani nilitengeneza mwenyewe na kusafirisha kuuza nje, pia niliuza online hasa Europe! sasa sijui malengo yako ni yapi hasa, utengeneze Tu then uwauzie watu hapa kwa jumla? Au utengeneze uuze mwenyewe!!
Hii cherehani kaka kiukweli bei yake cjui maana alinunua mzee kipindi cha nyuma maana kuna sister wangu alikuwa na garment sasa cherehani zipo tu home za umeme naza kawaida na hii ya viatu pia ipo.Mkuu hiyo cherehani ulinunua bei gani au wajua thamani ya hiyo cherehani
Nashukuru sana kaka kwani umenipa njia wapi pakuanzia!Changamoto ambayo naiona kwako ni uzarishaji ili kuendana na soko, tuseme kama utafuma mwenyewe Shanga, kuunganisha kwenye Ngozi na kila kitu, lets say utaweza kutengeneza pair 2 tu kwa siku, kibongo itakua haikulipi coz utauza jumla, labda uajiri watu, kwa maana uwe na watu lets say 5 wanaosuka Shanga tu! 2 wanaokata Ngozi, mmoja kuunga Ngozi na Soli na mmoja kwa Cherehani, at least unaweza kukimbizana na Soko na ukapata faida.
Changamoto nyingine ni Ubunifu wa style na Ubora, ukiona Sendo style mpya mtaani na wewe ndo ukakimbilia kutengeneza! Itakula kwako sokoni, lazima uwe mbunifu, ujue namba ya Ku mix rangi za shanga n.k, ili utaposhusha mzigo tuseme Cape town, Sendo zionekane zina style tofauti na zina Quality, coz Kuna ushindani na Wakenya! Ila uzuri Wakenya wana copy kwetu then wanafanya kimtindo wao! So bado tupo juu kwenye ubunifu!
ni hayo Tu! But kama Una swali karibu.
Ngoja nianze uzalishaji kaka naimani kote huko ntafika.Naona ujaribu pia soko la Congo hasa Goma na Kisangani
Msasa Mita 1. ni 3,000 kama sikosei, kwa size yoyote, pia wanauza nusu na robo mita!Nashukuru sana kaka kwani umenipa njia wapi pakuanzia!
Na mawazo yako nimeyachukua kama yalivyo nitayafanyia kazi.
Ila Kuhusu Swala la ubunifu nipo vizuri kiasi flani maana kwa sasa nashona bracelets au culture kwa kutumia Shanga na beads (zile Shanga kubwa kubwa) za mkononi
Vipi Kuhusu msasa unaweza unapatikana kwa bei gani?
kweli kabisa ndugu ubunifuu ndio kila kitu katika hii biashara mimi mwenyewe ninatengeneza ila siweki shanga na watu wanavipenda kitu cha msingi ni kutengeneza kwa stail ya kwako tu usiige kwa watu wengine coz vitafanana na ndio maana dar vimeshuka bei kwa sababu viatu vingi vinafanana kama vimetengenezwa na mtu mmoja, nikiongeza mtaji nitakutafuta ndugu unipe dondoo za kupeleka mzigo huko bondeni.Changamoto ambayo naiona kwako ni uzarishaji ili kuendana na soko, tuseme kama utafuma mwenyewe Shanga, kuunganisha kwenye Ngozi na kila kitu, lets say utaweza kutengeneza pair 2 tu kwa siku, kibongo itakua haikulipi coz utauza jumla, labda uajiri watu, kwa maana uwe na watu lets say 5 wanaosuka Shanga tu! 2 wanaokata Ngozi, mmoja kuunga Ngozi na Soli na mmoja kwa Cherehani, at least unaweza kukimbizana na Soko na ukapata faida.
Changamoto nyingine ni Ubunifu wa style na Ubora, ukiona Sendo style mpya mtaani na wewe ndo ukakimbilia kutengeneza! Itakula kwako sokoni, lazima uwe mbunifu, ujue namba ya Ku mix rangi za shanga n.k, ili utaposhusha mzigo tuseme Cape town, Sendo zionekane zina style tofauti na zina Quality, coz Kuna ushindani na Wakenya! Ila uzuri Wakenya wana copy kwetu then wanafanya kimtindo wao! So bado tupo juu kwenye ubunifu!
ni hayo Tu! But kama Una swali karibu.
Sure Mkuu! Usijari karibu Sana!kweli kabisa ndugu ubunifuu ndio kila kitu katika hii biashara mimi mwenyewe ninatengeneza ila siweki shanga na watu wanavipenda kitu cha msingi ni kutengeneza kwa stail ya kwako tu usiige kwa watu wengine coz vitafanana na ndio maana dar vimeshuka bei kwa sababu viatu vingi vinafanana kama vimetengenezwa na mtu mmoja, nikiongeza mtaji nitakutafuta ndugu unipe dondoo za kupeleka mzigo huko bondeni.
Ongera Sana ndugu.Baada ya kimya kirefu hatimae nashukuru Mungu uzalishaji umeanza,
Ahsateni sana kwa mchango wa mawazo wa jf wote , tuzidi kushauriana na kkupeana channels View attachment 551701View attachment 551702
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Bado unafanyakweli kabisa ndugu ubunifuu ndio kila kitu katika hii biashara mimi mwenyewe ninatengeneza ila siweki shanga na watu wanavipenda kitu cha msingi ni kutengeneza kwa stail ya kwako tu usiige kwa watu wengine coz vitafanana na ndio maana dar vimeshuka bei kwa sababu viatu vingi vinafanana kama vimetengenezwa na mtu mmoja, nikiongeza mtaji nitakutafuta ndugu unipe dondoo za kupeleka mzigo huko bondeni.